• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 27, 2016

  HUYU JAMAA NI SHIDA SANA MKWAKWANI INAPOCHEZA COASTAL!

  Mwenyekiti wa zamani wa Coastal Union, Ally Ahmed 'Aurora' akiongea kwa ishara Jumapili Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baina ya timu yake na Yanga. Mchezo huo ulivunjika dakika ya 110 wakati Yanga inaongoza 2-1, kufuatia mashabiki kumjeruhi kwa jiwe mshika kibendera namba mbili, Charles Simon wa Dodoma

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HUYU JAMAA NI SHIDA SANA MKWAKWANI INAPOCHEZA COASTAL! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top