• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 24, 2016

  LEICESTER YAUA 4-0, ARSENAL YABANWA SARE 0-0 NA SUNDERLAND

  Mshambuliaji wa Leicester City, Leonardo Ulloa (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Shinji Okazaki (katikati) baada ya kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Ulloa alifunga mabao mawili, wakati mengine yaamefungwa na Riyad Mahrez na Marc Albrighton PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck (katikati) akifumua shuti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo dhidi ya Sunderland Uwanja wa Light, timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEICESTER YAUA 4-0, ARSENAL YABANWA SARE 0-0 NA SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top