Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini jana usiku mjini Alexandria, Misri kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji Al Ahly kesho Uwanja wa Brog El Arab hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inahitaji ushindi wa ugenini baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment