• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 21, 2016

  WAARABU WALIVYOMFANYA FARID MUSSA JUZI TUNIS


  Mguu wa winga wa Azam FC, Farid Mussa ukiwa umechubuka baada ya kukanyagwa na mchezaji wa Esperance usiku wa Jumanne Uwanja wa Olimpiki Novemba 7, Rades mjini Tunis, Tunisia katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika. Farid hakuweza kuendelea na mchezo dakika ya 65 na nafasi yake kuchukuliwa na Khamis Mcha 'Vialli', Azam FC ikifungwa 3-0 na kutolewa kwa jumla ya mabao 4-2 baada ya awali kushinda 2-1 Dar es Salaam 
  Farid Mussa akiwa amebebwa kwenye gari maalum la kuwatoa uwanjani majeruhi wasiojiweza
  Farid aliyefunga bao la kwanza na kumsetia Ramadhani Singano 'Messi' kufunga la pili Dar es Salaam, akiwa ameketi benchi mjini Tunis kushuhudia jahazi la timu yake likizama
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAARABU WALIVYOMFANYA FARID MUSSA JUZI TUNIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top