Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney (kulia), akiwania mpira dhidi ya Lee Chung-yong wa Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Old Trafford. United imeshinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Damien Delaney aliyejifunga dakika ya nne na Matteo Darmian dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tottenham complete signing of Spain defender Porro
-
Tottenham sign Spain full-back Pedro Porro from Sporting Lisbon.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment