• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 28, 2016

  SIMBA YAITUMIA SALAMU AZAM, YAUA 3-0 ZOTE AWADH JUMA

  Kiungo wa Simba, Awadh Juma usiku wa jana amefunga mabao yote matatu Uwanja wa Amaan, Zanzibar timu yake ikishinda 3-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mafunzo. Simba imeweka kambi Zanzibar kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Jumamosi, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA YAITUMIA SALAMU AZAM, YAUA 3-0 ZOTE AWADH JUMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top