• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 30, 2016

  FARID MUSSA AFANYIWA VIPIMO CLUB TENERIFE

  Winga wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik akifanyiwa vipimo na klabu ya Deportivo Tenerife ya Uholanzi, baada ya kufanya vizuri katika majaribio yak ya awali ya kuwania kujiunga na timu hiyo ya Ligi Daraja la Kwanza, maarufu kama Segunda. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FARID MUSSA AFANYIWA VIPIMO CLUB TENERIFE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top