• HABARI MPYA

    Wednesday, April 20, 2016

    AZAM FC NA ESPERANCE KATIKA PICHA JANA TUNIS

    Kiungo wa Esperamce ya Tunisia, Ilyes Jelassi akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki Novemba 7 mjini Tunis, Tunisia

    Ilyes Jelassi akiwatoka viungo wa Azam FC, Kipre Balopu na Frank Domayo

    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) akiwania mpira wa juu na wachezaji wa Esperance 

    Kipre Balou akipambana na Ilyess Jelassi, kiungo wa Esperance aliyekuwa anahaha Uwanja mzima baada ya kuingia kipindi cha pili kutokea benchi 

    Kikosi cha Esperance kilichoifunga 3-0 Azam FC jana

    Kikosi cha Azam FC jana Uwanja wa Novemba 7, Radses mjini Tunis

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA ESPERANCE KATIKA PICHA JANA TUNIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top