• HABARI MPYA

  Wednesday, April 27, 2016

  SABEBE NAYE SHAHIDI YALIYOTOKEA MKWAKWANI JUMAPILI

  Mshambuliaji wa zamani wa Coastal Union, Abdallah Saleh 'Sabebe' alikuwepo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga Jumapili kuishuhudia timu yake hiyo ikimenyana na Yanga SC katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC). Mchezo huo ulivunjika dakika ya 110, Yanga inaongoza 2-1 baada ya mashabiki kumjeruhi kwa jiwe mshika kibendera namba mbili, Charles Simon wa Dodoma 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SABEBE NAYE SHAHIDI YALIYOTOKEA MKWAKWANI JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top