• HABARI MPYA

  Tuesday, April 26, 2016

  SPURS YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI, 1-1 NA WEST BROM

  Mchezaji mpya bora chipukizi wa Mwaka wa Ligi Kuu ya England, Dele Alli wa Tottenham Hotspur akipasua katikati ya wachezaji wa West Bromwich Albion katika mchezo wa ligi hiyo usiku wa Jumatatu Uwanja wa White Hart Lane, London. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, Craig Dawson akianza kujifunga dakika ya 33 yeye mwenyewe kuisawazishia West Brom dakika ya 73  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI, 1-1 NA WEST BROM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top