• HABARI MPYA

  Friday, April 22, 2016

  SANCHEZ AGONGA ZOTE MBILI, ARSENAL YAUA 2-0 ENGLAND

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia na beki wa kushoto, Nacho Monreal baada ya kuifungia timu yake mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ AGONGA ZOTE MBILI, ARSENAL YAUA 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top