• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 23, 2016

  CHELSEA YAWAPA WATU 4-1 TENA NYUMBANI KWAO

  Kiungo wa Chelsea, Willian akimvisha kanzu kipa wa Bournemouth, Boruc kumalizia pasi ya Fabregas kuifungia Chelsea katika ushindi wa 4-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pedro, Hazard mawili na Willian, huku la wenyeji likifungwa na Elphick Uwanja wa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAWAPA WATU 4-1 TENA NYUMBANI KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top