Winga wa Real Madrid, Gareth Bale akienda baada ya kuchezewa rafu na kiungo wa Manchester City, David Silva katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad, Manchester, England usiku huu, timu hizo zikitoka sare ya 0-0 na sasa zitarudiana wiki ijayo Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid, Hispani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago


.png)
0 comments:
Post a Comment