Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 11 katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Deportivo La Coruna kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Manispaa ya Riazor, La Coruna. Suarez alifunga mabao manne, mengine dakika za 24, 53 na 64, wakati mabao mengine yamefungwa na Ivan Rakitic dakika ya 47, Lionel Messi dakika ya 73, Marc Bartra dakika ya 79 na Neymar Junior dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Atiku raises alarm over suspicious credit to private bank account
-
Presidential Candidate of the African Democratic Congress (ADC) for the
2027 election, Atiku Abubakar, has raised the alarm over a suspicious
credit into...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment