• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 25, 2016

  AZAM FC ILIVYOTINGA FAINALI KOMBE LA ASFC JANA MWADUI

  Mshambuliaji Mkenya wa Azam FC, Allan Wanga akipasua katikati ya wachezaji wa Mwadui FC jana katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Azam FC ilishinda kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 120 

  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akiwatoka wachezaji wa Mwadui FC
  Kkungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipambana na kiungo wa Mwadui
  Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo (kushoto) akimtoka beki wa Mwadui, David Luhende
  Kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akimiliki mpira katika ya wachezaji wa Mwadui
  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao (kulia) akimlamba chenga kiungo wa Mwadui
  Kiungo wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' akiwatoka wachezaji wa Mwadui FC

  Kikosi cba Azam FC jana Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOTINGA FAINALI KOMBE LA ASFC JANA MWADUI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top