Nyota wa Atletico Madrid, Saul Niguez akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Vicente Calderon. Timu hizo zitarudiana wiki ijayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment