Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (kushoto) akiwa na Mreno mwenzake wa timu hiyo, Pepe wakati wakisafiri kwenda Manchester, England kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kesho Uwanja wa Etihad. Kulikuwa kuna wasiwasi wa Ronaldo kuukosa mchezo huo kutokana na kukosekana katika mchezo wa La Liga Jumamosi, Real Madrid ikishinda 3-2 ugenini dhidi ya Rayo Vallecano kwa sababu alikuwa majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment