• HABARI MPYA

  Tuesday, April 26, 2016

  KWA MKWARA HUU, ACHA AMUANGALIE TU!

  Shabiki mlemavu akimuwekea mkwara refa wa akiba katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baina ya wenyeji Coastal Union na Yanga juzi Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, mchezo ambaao ulivunjika dakika ya 110 baada ya mashabiki kumjeruhi kwa jiwe mshika kibendera namba mbili, Charles Simon wa Dodoma


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KWA MKWARA HUU, ACHA AMUANGALIE TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top