• HABARI MPYA

  Saturday, April 23, 2016

  LIVERPOOL YACHOMOLEWA MBILI ZOTE NA NEWCASTLE ANFIELD

  Kiungo wa kimataifa wa Brazil, Roberto Firmino wa Liverpool akimiliki mpira mbele ya beki wa Newcastle, Paul Dummett katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield, timu hizo zikitoka sare ya 2-1. Liverpool ilitangulia kwa mabao ya Daniel Sturridge na Adam Lallana, kabla ya Newcastle kusawazisha kupitia kwa Papiss Cisse na Jack Colback  PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YACHOMOLEWA MBILI ZOTE NA NEWCASTLE ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top