• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 26, 2016

  RONALDO WOTE, CRISTIANO NA LIMA WALIKUWEPO JUKWAANI ETIHAD LEO

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa jukwaani leo kutokana na kuwa majeruhi wakati timu yake ikimenyana na wenyeji Manchester Cty katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa leo Uwanja wa Etihad. Timu hizo zimetoka 0-0
  Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Ronaldo Lima naye alikuwepo Uwanja wa Etihad usiku huu kuishuhudia timu yake ya zamani ikilazimishwa sare na wenyeji
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO WOTE, CRISTIANO NA LIMA WALIKUWEPO JUKWAANI ETIHAD LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top