• HABARI MPYA

  Thursday, April 28, 2016

  AZAM NA MAJIMAJI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Mfungaji wa mabao yote mawili ya Azam FC katika ushindi wa 2-0 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Mudathir Yahya Abbas (kushoto) akiwatoka mabeki wa Majimaji ya Songea

  Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni (kushoto) akimgeuza mchezaji wa Majimaji jana Chamazi

  Kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singanos 'Messi' akimtoka mchezaji wa Majimaji jana

  Beki wa Azam FC, Gardiel Michael akimtoka mchezaji wa Majimaji jana 

  Kiungo wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' (kushoto) akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Majimaji

  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris (kushoto) akifikiria cha kufanya mbele ya mshambuliaji wa Majimaji

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM NA MAJIMAJI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top