• HABARI MPYA

        Sunday, April 24, 2016

        REFA ALIVYOJERUHIWA LEO MKWAKWANI YANGA NA COASTAL

        Mshika kibendera namba moja, Charles Simon akiwa amelala chini baada ya kushambuliwa kwa mawe na mashabiki Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama  Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), ambao ulivunjika dakika ya 110 Yanga SC ikiwa inaongoza 2-1 dhidi ya wenyeji, Coastal Union
        Askari Polisi wakimsindikiza Charles Simon  kutoka uwanjani baada ya kupatiwa huduma ya kwanza
        Daktari wa Yanga, Edward Bavu akimsaidia Charles Simon baada ya kujeruhiwa na mashabiki Uwanja wa Mkwakwani
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: REFA ALIVYOJERUHIWA LEO MKWAKWANI YANGA NA COASTAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry