Connor Wickham wa Crystal Palace akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 79 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Watford leo Uwanja wa Selhurts Park katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA England. Bao lingine la Palace limefungwa na Yannick Bolasie dakika ya sita wakati la Watford limefungwa na Troy Deeney dakika ya 55. Palace sasa watamenyana na Manchester United katika fainali Mei 21. United iliitoa Everton jana kwa mabao 2-1 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cox excited by Ten Hag's commitment to youth
-
The club's Head of Academy cannot wait to start working with our new
manager.
Dakika 27 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni