Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez (kushoto), akigombea mpira dhidi ya kipa wa Sporting Gijon, Ivan Cuellar katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Nou Camp. Barcelona imeshinda 6-0, Suarez akifunga mabao manne, moja Lionel Messi na lingine Neymar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lawrence to captain London Spirit in The Hundred
-
England's Dan Lawrence will replace the recently-retired Eoin Morgan as
captain of London Spirit in The Hundred.
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment