• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 23, 2016

  MAN UNITED YATINGA FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

  Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 90 na ushei Mashetani Wekundu wakiwalaza 2-1 Everton katika Nusu Fainali ya Kombe la FA Uwanja wa Wembley, London. Marouane Fellaini alianza kuifungia United dakika ya kabla ya Romelu Lukaku wa Everton kukoa penalty kipindi cha pili na Chris Smalling kujifunga kuisawazishia Toffees PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YATINGA FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top