• HABARI MPYA

    Sunday, April 10, 2016

    AMLIMA, MGUNDA NA JULIO ENZI ZA UJANA WAO

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Idelphonce Amlima, Juma Mgunda na beki Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wakiwa kwenye kambi ya timu hiyo Jeshi la Wokovu, Kurasini, Dar es Salaam mwaka 1995
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AMLIMA, MGUNDA NA JULIO ENZI ZA UJANA WAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top