INSPEKTA HAROUN ENZI ZAKE ALICHIZISHA' MASELA NA GANGWE MOB
Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva, Haroun Kahena ‘Inspekta Haroun’ wa Gangwe Mob akitumbuiza katika uzinduzi wa albamu ya ‘Kimya Kingi’ ya kundi la Unique Sisters kwenye bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro (sasa Hyatt) mwaka 1999
0 comments:
Post a Comment