• HABARI MPYA

    Sunday, April 19, 2015

    MAN CITY YAZINDUKA, YAIPA 2-0 WEST HAM ENGLAND

    The Argentine striker sprints away in celebration having fired in his 20th league goal of the season to put Manchester City 2-0 up at the break
    Mshambuliaji Muargentina wa Manchester City akishangilia baada ya kufunga bao lake la 20 katika Ligi Kuu ya England msimu huu katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United Uwanja wa Etihad. Bao lingine la City alijifunga James Collins. Mabingwa hao watetezi, City sasa inafikisha pointi 64 baada ya kucheza mechi 33, nyuma ya Manchester United wenye pointi 65 za mechi 33, Arsenal pointi 66 za mechi 32 na vinara Chelsea pointi 76 za mechi 32.  

    PICHA ZAIDI NENDA: 

    http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3045729/Manchester-City-2-0-West-Ham-Sergio-Aguero-steers-champions-track-helping-hand-James-Collins-goal.html#ixzz3XmBEjPyq 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAZINDUKA, YAIPA 2-0 WEST HAM ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top