• HABARI MPYA

  Thursday, June 01, 2023

  YANGA WAWASILI SALAMA ALGERIA KUWAVAA WENYEJI USM ALGER KESHOKUTWA


  MSAFARA wa Yanga umewasili salama Jijini Algiers nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, USM Alger Jumamosi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAWASILI SALAMA ALGERIA KUWAVAA WENYEJI USM ALGER KESHOKUTWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top