• HABARI MPYA

  Friday, June 02, 2023

  SIMBA SC WAKIJIFUA KUJIANDAA KUKAMILISHA RATIBA LIGI KUU


  WACHEZAJI wa Simba SC wakiwa mazoezini kujiandaa na mechi zao mbili za kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Juni 6 na Coastal Union Juni 9, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAKIJIFUA KUJIANDAA KUKAMILISHA RATIBA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top