• HABARI MPYA

  Thursday, June 01, 2023

  YANGA SC WALIVYOONDOKA KUIFUATA USM ALGER NCHINI ALGERIA


  KIPA wa Yanga, Djigui Diarra akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati wa safari ya kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Jumamosi Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers. 
  Yanga inahitaji ushindi wa 2-0 ili kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutwaa Kombe la Afrika baada ya kufungwa 2-1 kwenye mechi ya kwanza Dar es Salaam Jumapili iliyopita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOONDOKA KUIFUATA USM ALGER NCHINI ALGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top