• HABARI MPYA

        Tuesday, November 15, 2022

        SIMBA SC YATOA TAARIFA MAALUM KUHUSU KOCHA WAKE WA MAKIPA

        KLABU ya Simba imetoa taarifa maalum kuhusu kipa wa zamani wa klabu hiyo, Muharami Mohamed ambaye alikuwa anafanya kazi kama kocha wa makipa wa klabu hiyo.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC YATOA TAARIFA MAALUM KUHUSU KOCHA WAKE WA MAKIPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry