• HABARI MPYA

  Sunday, November 06, 2022

  SALAH APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YASHINDA 2-1


  TIMU ya Liverpool imepata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo
  Uwanja wa Tottenham Hotspur.
  Mabao yote ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 11 na 40, wakati la Tottenham Hotspur limefungwa na
  Harry Kane dakika ya 70.
  Kwa matokeo hayo, Liverpool inafikisha pointi 19 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya nane, wakati Spurs inabaki na pointi zake 26 za mechi 14 nafasi ya nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top