• HABARI MPYA

  Monday, November 07, 2022

  NI LIVERPOOL NA REAL MADRID 16 BORA LIGI YA MABINGWA


  TIMU ya Liverpool itamenyana na Real Madrid katika Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, yakiwa ni marudio ya Fainali ya msimu uliopita.
  Timu nyingine za England, Chelsea itamenyana na Borussia Dortmund, Tottenham Hotspur itacheza na AC Milan na Manchester City wataivaa RB Leipzig.
  Mechi za kwanza za 16 Bora Ligi ya Mabingwa zitachezwa kati ya Februari 14-15 na nyingine kati ya Februari 21 na 22, wakati marudiano yatakuwa Machi 7 na 8 na Machi 14 na 15. 
  RATIBA KAMILI 16 BORA LIGI YA MABINGWA
  RB Leipzig vs Manchester City
  Club Brugge vs Benfica
  Liverpool vs Real Madrid
  AC Milan vs Tottenham Hotspur
  Eintracht Frankfurt vs Napoli
  Borussia Dortmund vs Chelsea
  Inter Milan vs Porto
  Paris Saint-Germain vs Bayern Munich
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI LIVERPOOL NA REAL MADRID 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top