• HABARI MPYA

  Thursday, November 03, 2022

  NGORONGORO HEROES YATOLEWA MBIO ZA AFCON U20


  TANZANIA imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya sare ya 2-2 na Ethiopia jana Uwanja wa Al-Hilal Jijini Omdurman
  Kwenye michuano hiyo ya kufuzu AFCON ukanda wa CECAFA, Uganda imemaliza na pointi tatu, ikifuatiwa na Ethiopia pointi moja kama Tanzania, lakini Wahabeshi wanasonga mbele kwa wastani mzuri wa mabao.
  Katika Kundi B, Burundi na wenyeji Sudan wamesonga mbele, wakati Sudan Kusini na Djibouti wametolewa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES YATOLEWA MBIO ZA AFCON U20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top