• HABARI MPYA

  Saturday, November 26, 2022

  SINGIDA BIG STARS YAIPIGA RUVU 1-0 PALE PALE UHURU


  BAO la Frank Zakaria dakika ya 78 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Kwa ushindi huo, Ruvu inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 13 na kurejea nafasi ya nne, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake 11 za mechi 14 katika nafasi ya 13.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS YAIPIGA RUVU 1-0 PALE PALE UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top