• HABARI MPYA

  Sunday, November 20, 2022

  MBEYA CITY YATOA SARE YA 0-0 NA GEITA GOLD SOKOINE


  WENYEJI, Mbeya City wamelazimishwa sare ya bila mabao na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Matokeo hayo yaanifanya kila timu ifikishe pointi 18, Mbeya City katika mchezo wa 12 nafasi ya sita na Geita Gold mchezo wa 13 nafasi ya saba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YATOA SARE YA 0-0 NA GEITA GOLD SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top