• HABARI MPYA

  Tuesday, November 01, 2022

  KAGERA SUGAR YAICHAPA KMC 1-0 MWANZA


  BAO pekee la Anuary Jabir dakika ya 76 limetosha kuipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi 11 na kusogea nafasi ya 11, wakati KMC inabaki na pointi zake 13 nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAGERA SUGAR YAICHAPA KMC 1-0 MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top