• HABARI MPYA

  Friday, November 18, 2022

  BODI YAUFUNGIA UWANJA WA IHEFU SABABU YA PITCH MBOVU


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungia Uwanja wa Highland Estate unaotumiwa na klabu ya Ihefu SC kwa sababu ya kutokuwa na eneo zuri la kuchezea mpira.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YAUFUNGIA UWANJA WA IHEFU SABABU YA PITCH MBOVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top