• HABARI MPYA

  Wednesday, November 02, 2022

  LIVERPOOL YAMALIZA VYEMA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA


  WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Napoli ya Italia katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Anfield.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 85 na Darwin Nunez dakika ya 90 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 15, ingawa wanamaliza nafasi ya pili wakizidiwa tu wastani wa mabao na Napoli baada ya mechi zote sita kwa wote.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAMALIZA VYEMA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top