• HABARI MPYA

  Tuesday, November 01, 2022

  BODI YA LIGI YAUFUNGIA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID

  BODI ya Ligi imeufungia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kutumika kwa mechi za Ligi Kuu na Championship Tanzania Bara kutokana na mapungufu kadhaa.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAUFUNGIA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top