• HABARI MPYA

  Friday, November 04, 2022

  GARNACHO AIPA USHINDI WA UGENINI MAN UNITED ULAYA


  BAO pekee la Alejandro Garnacho dakika ya 17 limetosha kuipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa mwisho was Kundi E Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Reale Arena huko Donostia-San Sebastián.
  Man United inamaliza na pointi 15 sawa na Real Sociedad ambao wameongoza kundi hilo kwa wastani wa mabao na zote zinasonga mbele huku Sheriff na Omonia Nicosia safari yao ikiishia hapa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GARNACHO AIPA USHINDI WA UGENINI MAN UNITED ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top