• HABARI MPYA

  Wednesday, November 30, 2022

  YANGA KUMENYANA NA KURUGENZI YA SIMIYU ASFC, SIMBA NA EAGLE


  DROO ya Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kamaAzam Sports Federation Cup (ASFC) imefanyika leo Jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Young Africans watamenyana na Kurugenzi ya Simiyu.
    
  Katika droo hiyo iliyofanyika ofisi za wadhamini wa michuano hiyo, Azam TV, washindi wa pili wa msimu uliopita Coastal Union watacheza na Tanga Middle, huku vigogo wengine, Simba watamenyana na Eagle FC na Azam FC dhidi ya Malimao.   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA KUMENYANA NA KURUGENZI YA SIMIYU ASFC, SIMBA NA EAGLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top