• HABARI MPYA

  Friday, November 04, 2022

  ARSENAL YAMALIZA NA USHINDI WA 1-0 NYUMBANI EUROPA LEAGUE


  BAO la Kieran Tierney dakika ya 17 limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya FC Zurich ya Uswisi katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates Jijini London.
  Kwa matokeo hayo, Arsenal inamaliza na pointi 15 kileleni, mbele ya PSV Eindhoven iliyomaliza na pointi 13 na zote zinasonga mbele, huku Bodø /Glimt na Zürich zikiaga mashindano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAMALIZA NA USHINDI WA 1-0 NYUMBANI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top