• HABARI MPYA

  Sunday, November 27, 2022

  HATIMAYE UWANJA WA JAMHURI WA DODOMA WAFUNGULIWA


  HATIMAYE timu ya Dodoma Jiji itaanza tena kuchezea nyumbani mechi zake za Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia Bodi ya Ligi kuufungulia Uwanja wa Jamhuri uliopo Dodoma.
  Tangu mwanzo mwa msimu, Dodoma Jiji wamekuwa wakichezea mkoa wa jirani, Singida mechi zao za Ligi Kuu, ambayo imeemelezwa kama sababu Kuu ya timu hiyo kufanya vibaya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HATIMAYE UWANJA WA JAMHURI WA DODOMA WAFUNGULIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top