• HABARI MPYA

  Sunday, November 13, 2022

  ARSENAL YAANZA KULA 'UBARIDI' KILELENI ENGLAND


  TIMU ya Arsneal jana iliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England mabao yote yakifungwa na kiungo Mnorway, Martin Odegaard dakika ya 54 na 75 Uwanja wa Molineux Stadium (Wolverhampton, West Midlands.
  Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 37 na sasa inaongoza Ligi Kuu kwa pointi tano Zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 14, wakati Wolves inaendelea kushika mkia na pointi zake 10 za mechi 15.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAANZA KULA 'UBARIDI' KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top