• HABARI MPYA

  Wednesday, November 09, 2022

  BODI YA LIGI YAUFUNGULIA UWANJA WA USHIRIKA


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeufungulia Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro ambao hutumiwa na klabu ya Polisi Tanzania.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAUFUNGULIA UWANJA WA USHIRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top