KIUNGO Muzamil Yassin ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba kwa mwezi Oktoba na atapatiwa kitita cha Sh. Milioni 2 kutoka wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.
Muzamil ameibuka kidedea mbele ya beki Mkenya, Joash Onyango na winga Mghana, Augustine Okrah alioingia nao Fainali.
0 comments:
Post a Comment