• HABARI MPYA

  Sunday, November 13, 2022

  WILLOCK AIFUNGIA BAO PEKEE NEWCASTLE YAICHAPA CHELSEA 1-0


  BAO pekee la mshambuliaji wa England, Joseph George Willock dakika ya 67 jana liliipa Newcastle United ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea FC Uwanja wa St. James' Park Jijini Newcastle upon Tyne.
  Kwa ushindi huo, Newcastle United inafikisha pointi 30 katika mchezo wa 15 na kusogea nafasi ya tatu, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 21 za mechi 14 nafasi ya nane.
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILLOCK AIFUNGIA BAO PEKEE NEWCASTLE YAICHAPA CHELSEA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top