• HABARI MPYA

  Sunday, November 06, 2022

  KAGERE AFUNGA BAO PEKEE SINGIDA STARS YASHINDA 1-0


  BAO pekee la mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere dakika ya 22 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Polisi Tanzania Uwanja wa Black Rhino mjini Karatu.
  Kwa ushindi huo, Singida Big Stars wanafikisha pointi 17 katika mchezo wa tisa na kusogea nafasi ya tatu, wakati Polisi  Tanzania inabaki na pointi zake sita za mechi 11 sasa nafasi ya 15.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAGERE AFUNGA BAO PEKEE SINGIDA STARS YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top